CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Amekanyaga mbigili akiwa miguu peku.Kipenzi Changu mmemfanya nini huyu mbaba aisee.
Amekanyaga mbigili akiwa miguu peku.Kipenzi Changu mmemfanya nini huyu mbaba aisee.
Damu za M029ligi ya Tanzania haina ushawishi mkubwa siku hizi, sijui ni kwanini...
Hepatitis B ( homa ya ini) anakucheck tu ulivyomsahau halafu figo kufeli nae hayupo mbalikuna kisukari ndio hatari zaidi,na cancer
😁😁Purukushani zake na watoto wa 2000 zimeanza kuzaa matunda
Mungu atunusuru...Hepatitis B ( homa ya ini) anakucheck tu ulivyomsahau halafu figo kufeli nae hayupo mbali
Kwa hiyo mademu wakishamjua ndio hukimbia au? Maana sielew kwa nn show off zinakuwaga nyingi na wake zake mara gafla safari inazimwa bila sabab za msingiMungu atunusuru...
Halaf mnasema nyinyi makafir mnaakil 😄😄 kisukar kinatibika na dawa Gani?Hivyo vinatibika, epukana na umeme, tutakusafilisha mbinguni ndani ya kabati mapema.
Simba mbovu,ushindani hakunaligi ya Tanzania haina ushawishi mkubwa siku hizi, sijui ni kwanini...
Pelekea mbali name huko mada zako za kipimbi.Halaf mnasema nyinyi makafir mnaakil kisukar kinatibika na dawa Gani?
Takadini bin SopeHuyu ni nani??
Kwani msimu uliopita simba ilikua Bora? Mnachanganya siasa na mpira ALAFU unaleta kelel HUKU madako yakoSimba mbovu,ushindani hakuna
Mpaka uwekewe luku ndio maisha yaende. Achana na kabisa nao hilo lifeUmeme wa TANESCO ni hatari sana nchini bora kutumia solar kwa usalama zaidi.
Ni hatari sana kwa ustawi wa nishati salama nchini.Mpaka uwekewe luku ndio maisha yaende. Achana na kabisa nao hilo life
Hahaha....Takadini bin Sope
Sababu ni kuingiza siasa kwenye mpira watu hawataki huo usenge ndiyo maana Timu ya Taifa ikifungwa watu wengi wanafurahi .Simba mbovu,ushindani hakuna