Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
๐๐๐๐ watu mnajua kuchamba! ๐ ๐.ARV zimeshadunda na mijino michafuuu kwa kubwia ugoro
๐๐๐๐ watu mnajua kuchamba! ๐ ๐.ARV zimeshadunda na mijino michafuuu kwa kubwia ugoro
Huyu mdau wa mpira anaonekana hali vizuri au ana ugonjwa. Lakini asemacho kinafikirisha sana.
View attachment 3536041
Domo lile linabwia ugoro, linavuta bangi, linavuta sigara,linavuta shisha hadi mijino imekuwa kama kashataILA WANAWAKE NI WAJASIRI SANA. HUYU JAMAA WANAMPITA KISS. WANAMLA MATE.
Mshikaji tulimuonya kuwa vitoto vya 2000 haviko safe asipige peku peku akatuona sisi washamba sasa kapata mshahara wa uborntown kabakia fuvu tu na sauti chezea upupu wewe.๐๐๐๐ watu mnajua kuchamba! ๐ ๐.
huyu anakufa mwaka huuHuyu mdau wa mpira anaonekana hali vizuri au ana ugonjwa. Lakini asemacho kinafikirisha sana.
View attachment 3536041
Acha uongokuna kisukari ndio hatari zaidi,na cancer
Ushawishi ulianza kuporomoka tangu tar. 29/10 mwaka jana.ligi ya Tanzania haina ushawishi mkubwa siku hizi, sijui ni kwanini...
tupe wewe ukweli sasa!! Maana sisi au Mimi muongo..Acha uongo