Aiseee .... Amechoka, ameisha, anatisha. Nini kipo nyuma yake? Lakini analosema linashtua zaidi.

Tatizo
Yanga ime dominate kwa muda mrefu yani ni kama imeacha Gap kubwa sijui niseme standard ... ligi inakosa ladha kujua fulani ndo bingwa hata ligi haijaanza!
  • Club bingwa na shirikisho pia zimepunguza kasi ya ligi mana wiki mashabiki wako ligi kuu Wiki wako Club bingwa!
  • ugumu wa maisha/Na mwanzo wa mwaka huu hali yenyewe ngumu!
Sababu za kisiasa ni propaganda tu hamna wakususia kitu bwana wasanii wa bongo fleva hao wanapeta

Gsm anaharibu ligi nawaambia sio uwongo!😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…