Aiseee mbona hii ndio huwa miezi ya mvua na kibaridi flani hivi ila Hali NI kama jehanamu duuh

Aiseee mbona hii ndio huwa miezi ya mvua na kibaridi flani hivi ila Hali NI kama jehanamu duuh

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Screenshot_20251130-133149_133136.jpg
Hii kit ina kimbia 30+ plus week kama ya tasty hivi
 
Kama una afya mbovu usithubutu kuingia kwenye maduka ya chini hapo Kariakoo tena hasa Wanawake. Jitie ubishi utakachokutana nacho huko utasimulia maisha yako yote
 
Kama una afya mbovu usithubutu kuingia kwenye maduka ya chini hapo Kariakoo tena hasa Wanawake. Jitie ubishi utakachokutana nacho huko utasimulia maisha yako yote
Nini mkuu tuhabarishe tafadhari
 
Singida huku tunapaswa kuwa tunakaribia kuvuna yale mahindi ya mwanzo mwanzo lakini mpaka sasa mvua hakuna. Sijui ndiyo mambo ya climate change ama?
 
Mzee baba kwa eneo la kusini mwa Ikweta, hiki ni kipindi cha joto kali kwa sababu ya uwepo wa jua la utosi ...
 
Kule ni unaingia kwenye tanuru direct, hakuna hewa unayoihisi ukiwa nje, kule chini ukipiga hatua 3 tu mwili wote unaloa, sasa jumlisha na ile mifeni yao mikubwa inayopuliza joto utapenda tu
Haha nimekuelewa mtalaan upon sahihu
 
Back
Top Bottom