Aiseee! Nimeamini wanawake wanapenda pesa. Cheki hii kitu kuthibitisha ...

Aiseee! Nimeamini wanawake wanapenda pesa. Cheki hii kitu kuthibitisha ...

Anafanya Kaz Benk Gani? Alafu Mbona Kma Anapata Faida Mara 2 Kwa Siku Na Kwa Mtu Mmoja?!! May Be Shida Yake Ni Sex, Hiyo 15000 Ni Nyongeza!!! Ila Nimefungua Thread Nikidhan Ni Mwanamke Wa Laki 3 Kwa Siku. Kumbe Buku Jero[emoji3] [emoji3] [emoji3] !! Buku 15 Si Kma Buku Jero!
[emoji13] [emoji13] usiseme hivyo watu wakiombwa buku tano tu wanakuja kulalama hapa...kwa wanaume wengine 15 ni kubwa mno
 
Anafanya Kaz Benk Gani? Alafu Mbona Kma Anapata Faida Mara 2 Kwa Siku Na Kwa Mtu Mmoja?!! May Be Shida Yake Ni Sex, Hiyo 15000 Ni Nyongeza!!! Ila Nimefungua Thread Nikidhan Ni Mwanamke Wa Laki 3 Kwa Siku. Kumbe Buku Jero[emoji3] [emoji3] [emoji3] !! Buku 15 Si Kma Buku Jero!

Siwezi itaja benki, ebu tulia upige hesabu angalau hiyo mara 18 kwa mwezi, ni mzinga mkubwa tu.
Wewe ukikutana nae mara moja kwa mwezi na hiyo laki 3 na mimi mara angalau 18 kwa mwezi hatuchezi mbali, ila niwe mkweli siku zingine 'ananikopesha' alafu nina mashaka kuwa lengo lake zaidi ni kukunwa maana siku za 'kukopa' hakumbushagi siku hizi.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kama kweli hayo tuliosimuluwa basi wadada tumefika mbali...mimi nahisi hii chai 15 tu hahaha siamini
Umeona eeeh, kama kweli huyo mdada kamdanganya siku hizi hata wafagiaji kazi kuwatambua.
 
ebu tulia upige hesabu angalau hiyo mara 18 kwa mwezi, ni mzinga mkubwa tu.
Wewe ukikutana nae mara moja kwa mwezi na hiyo laki 3 na mimi mara angalau 18 kwa mwezi hatuchezi mbali, ila niwe mkweli siku zingine 'ananikopesha'.
hebu mfatilie atakuwa anacheza vikoba...hivyo anarudisha marejesho..unamkopa huwa unakuwa umecharara?hivyo humlipa deni lake siku nyingine au?
 
Anafanya Kaz Benk Gani? Alafu Mbona Kma Anapata Faida Mara 2 Kwa Siku Na Kwa Mtu Mmoja?!! May Be Shida Yake Ni Sex, Hiyo 15000 Ni Nyongeza!!! Ila Nimefungua Thread Nikidhan Ni Mwanamke Wa Laki 3 Kwa Siku. Kumbe Buku Jero[emoji3] [emoji3] [emoji3] !! Buku 15 Si Kma Buku Jero!
laki tatu kwasiku hata Liyumba hawezi,na huyo nasikia ndo mfalme wa wahongaji
 
Huyo atakuwa mfagiaji, 15 hela ya chips dume watoto wa primary.

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kama kweli hayo tuliosimuluwa basi wadada tumefika mbali...mimi nahisi hii chai 15 tu hahaha siamini
Majibu haya yanaonyesha kuwa hata nyie ni wauza K, sema tu bei yenu ni tofauti. Nothing personal though, just my view!
 
Acha uoga wewe,taja dau lolote unaloona litakutosha,usiogope mama,au kama unaona noma nitimbie kny pm mambo yatakuwa shwari mshazari
sio uoga we si mwanaume taja dau lako la mwisho...hakuna cha pm yani tutamalizana hapahapa mbele za mashahidi ili ukinikopa nije kushtaki hapa,teh
 
Back
Top Bottom