Erickjr
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 994
- 787
Nilichomaanisha Mimi, Kma Mwanamke Umempenda! Sidhani Kma Cost Ni Za Kuziangalia Sanaa . Ila Kma Ni Wa Stareh Haya!!!Siwezi itaja benki, ebu tulia upige hesabu angalau hiyo mara 18 kwa mwezi, ni mzinga mkubwa tu.
Wewe ukikutana nae mara moja kwa mwezi na hiyo laki 3 na mimi mara angalau 18 kwa mwezi hatuchezi mbali, ila niwe mkweli siku zingine 'ananikopesha' alafu nina mashaka kuwa lengo lake zaidi ni kukunwa maana siku za 'kukopa' hakumbushagi siku hizi.