Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Eti alienda kutafuta wagombea mmmmm

Wagombea wanatafutwa au wanajitokeza wenyewe kugombea?

Huyu kuna kitu anaficha
 

View: https://youtu.be/Q1qkDa5IhD4?si=PHhQhZ6NmT24nkGl
 
Eti alienda kutafuta wagombea mmmmm

Wagombea wanatafutwa au wanajitokeza wenyewe kugombea?

Huyu kuna kitu anaficha
Wewe kama unakifahamu anachokificha, kiweke hadharani.

Kama maneno aliyoeleza kuhusiana na tukio alilofanyiwa hayatoshi ama hayalingani na ukweli, ongezea kutimiliza yaliyopungua.

Kusema tu 'kuna kitu anaficha' bila wewe kueleza kitu hicho ni nini, utakuwa na husda, ni fitina unaitengeneza kutaka watu wafuate hila zako.

Acheni uchawa na fitna zenu kwa watu msiowafahamu na kuwalisha maneno yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
 
Mbona watu wanatekwa sana kwenye awamu yako.
 
https://www.jamiiforums.com/threads...ameokotwa-porini-akiwa-na-hali-mbaya.2268963/
ALITEKWA YAANI MAAJABU SANA MTU KATUPWA KIBITI AKACHUKULIWA NA BODABODA HAJITAMBUI MPAKA MWANANYAMALA HOSPITALI INAWEZEKANAJE? ALIBEBWAJE MPAKA MWANANYAMALA KUTOKA KIBITI MPAKA MWANANYAMALA KULIKUWA HAKUNA HOSPITALI KWELI ALIMFUNGAJE KWENYE BODABODA?
 
Reactions: Tui
Siasa sasa hivi siyo utumishi na ukombozi bali ni UKWASI ndiyo maana mauaji na utekaji vimezidi.
 
huyu alifumaniwa akala kichapo cha haja wana chadema wakaona wapindue meza chap wakasema ametekwa hebu tuambie mtu alipogwa akawa mahututi aliweza jekubebwa na boda mpaka mwananyamala hospitali na alipandaje boda akiwa mahututi na kutoka kibiti mpaka mwananyamala hakuna hospitali hapo kati mpaka apelekwe huko? dili limejulikana sasa tushaanza kuwajuwa chadema mbinu wanazotumia kuchafua serikali
 
Kwa hawa wanaofanya huu upunguani bin unyama bin ushetani wakumbuke kuwa;
1. Mungu wa kisasi yupo na kisasi hiki kitalipwa hapahapa duniani kwao, watoto hadi wajukuu zao.
2. Unyama huu hata maandiko yanasema "moto wa Allah utashuka kwao kama mwali wa radi"
3. Laana na imekaa juu ya vichwa vyenu na nyumba zenu hadi milele.
 
Ulimfumania wewe???Mbona mna roho mbaya kihivyo.Kama alifumaniwa kwa nini hatua za msingi hazikuchukuliwa?Je aliyemfumania ni nani?
 
Ulimfumania wewe???Mbona mna roho mbaya kihivyo.Kama alifumaniwa kwa nini hatua za msingi hazikuchukuliwa?Je aliyemfumania ni nani?
hatua zingechukuliwaje wakati badala ya kuripoti, maelezo tu yanajidhihirisha nalikuwa anasema uongo mtupu sasa polisi wanachunguza ngoja muone mnavyoumbuka
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…