Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Eti alienda kutafuta wagombea mmmmm

Wagombea wanatafutwa au wanajitokeza wenyewe kugombea?

Huyu kuna kitu anaficha
 
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================

Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.

Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.

Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

View: https://youtu.be/Q1qkDa5IhD4?si=PHhQhZ6NmT24nkGl
 
Eti alienda kutafuta wagombea mmmmm

Wagombea wanatafutwa au wanajitokeza wenyewe kugombea?

Huyu kuna kitu anaficha
Wewe kama unakifahamu anachokificha, kiweke hadharani.

Kama maneno aliyoeleza kuhusiana na tukio alilofanyiwa hayatoshi ama hayalingani na ukweli, ongezea kutimiliza yaliyopungua.

Kusema tu 'kuna kitu anaficha' bila wewe kueleza kitu hicho ni nini, utakuwa na husda, ni fitina unaitengeneza kutaka watu wafuate hila zako.

Acheni uchawa na fitna zenu kwa watu msiowafahamu na kuwalisha maneno yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
 
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ambaye ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yeye muheshimiwa hajawahi kudhuru mtu iweje vikosi vya usalama wa raia kudhuru raia ... ni mategemeo yetu rais atatoa maelekezo kwa vyombo vya usalama chini ya serikali ya chama dola kongwe CCM ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=HFezooN_hMQ

Mbona watu wanatekwa sana kwenye awamu yako.
 
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================

Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.

Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.

Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbay
https://www.jamiiforums.com/threads...ameokotwa-porini-akiwa-na-hali-mbaya.2268963/
ALITEKWA YAANI MAAJABU SANA MTU KATUPWA KIBITI AKACHUKULIWA NA BODABODA HAJITAMBUI MPAKA MWANANYAMALA HOSPITALI INAWEZEKANAJE? ALIBEBWAJE MPAKA MWANANYAMALA KUTOKA KIBITI MPAKA MWANANYAMALA KULIKUWA HAKUNA HOSPITALI KWELI ALIMFUNGAJE KWENYE BODABODA?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Vyama dola kongwe Afrika ikiwemo CCM kubaki madarakani wanatumia njia zote ovu kuhakikisha hakuna mabadiliko huru ya haki.

Uchaguzi wa Msumbiji 2024​

Chama cha Wanasheria kinalaani mauaji ya Elvino Dias​

3:58 PAKA | 19 Oktoba 2024
0 Maoni Chapisha Shiriki
Lawyers.aim_

Picha: AIM
Chama cha Wanasheria wa Msumbiji (OAM) kimelaani "kwa mshtuko mkubwa na masikitiko makubwa" mauaji hayo katikati mwa jiji la Maputo Jumamosi usiku ya wakili maarufu wa upinzani Elvino Dias.

OAM, ikiyataja mauaji hayo kuwa ya “kinyama na ya woga”, ilibainisha kuwa yalitokea sadfa katika kumbukumbu ya miaka 38 ya kifo cha rais wa kwanza wa nchi hiyo, Samora Machel, ambaye alipoteza maisha tarehe 19 Oktoba 1986 katika ajali ya ndege inayoaminika kuwa. ilisababishwa na jeshi la kibaguzi la Afrika Kusini.

Taarifa ya OAM ilisema kwamba Dias alikuwa akipigana kila wakati "kuhifadhi utawala wa sheria", na kifo chake hakingeweza kutenganishwa na kazi yake kama wakili.

Katika miezi ya hivi karibuni, Dias amekuwa wakili wa mgombea binafsi wa urais, Venancio Mondlane, na wa chama kikuu kilichounga mkono azma yake ya urais, Podemos. Alijulikana kufanyia kazi rufaa dhidi ya ulaghai katika uchaguzi ambayo Podemos alinuia kuwasilisha kwa Baraza la Katiba, chombo cha juu zaidi nchini katika masuala ya sheria za kikatiba na uchaguzi.

Aliuawa pamoja na Dias alikuwa wakala wa uchaguzi wa Podemos, Paulo Guambe.
"Wacha tusiwe na udanganyifu", alisema OAM. "Mauaji haya ya kinyama ni shambulio dhidi ya taaluma ya utetezi, dhidi ya uhuru wake, dhidi ya utawala wa sheria na dhidi ya demokrasia".

Wanasheria, OAM iliwahimiza, "wanapaswa kusimama dhidi ya kutokujali, na dhidi ya uhalifu uliopangwa ambao umechukua taasisi".

OAM inataka "maandamano ya kukataa" katika mabaraza yote ya majimbo ya shirika "kwa kumbukumbu ya mpiganaji huyu kwa uthibitisho wa utendaji huru na huru wa sheria".

OAM itaandamana na uchunguzi katika jaribio la kuonyesha kwamba "uhalifu haulipi".
"Ilikuwa heshima kubwa kuwa na mfanyakazi mwenza wa aina hii, bila kujali itikadi yake", OAM ilisisitiza.
Muungano wa Mais Integridade (“Uadilifu Zaidi”) wa waangalizi wa uchaguzi wa mashirika ya kiraia pia ulilaani mauaji hayo.

Ilibainisha kuwa Dias alikufa papo hapo, lakini Guambe alifariki saa chache baadaye - na baada ya polisi kukataa kuruhusu gari la wagonjwa kumsaidia.

Taarifa ya "Mais Integridade" ilisema kwamba polisi "walifanya zoezi kali la udhibiti na vitisho kwa mashahidi, ili wasisajili matukio ya vurugu, ikiwa ni pamoja na kukusanya na kuharibu simu kadhaa za mkononi".

Taarifa hiyo ilibainisha kuwa Dias alifanya kazi na Venancio Mondlane katika vita vya ndani ndani ya chama kikuu cha upinzani, Renamo, ambacho kililazimisha uongozi wa Renamo kufanya Kongamano lake lililokuwa limechelewa mwezi Mei (ingawa uongozi ulifanikiwa kumzuia Mondlane kuhudhuria Kongamano).

Pia alikuwa amefanya kazi na Mondlane katika vita vya kisheria kuhusu uchaguzi wa manispaa wa 2023, na kusaidia kuleta kesi za udanganyifu katika uchaguzi mahakamani. Kabla ya mauaji yake, Dias alikuwa akishughulikia mizozo iliyotokana na shutuma za udanganyifu katika uchaguzi mkuu wa tarehe 9 Oktoba 2024.

Katika barua iliyochapishwa kwenye ukurasa wake wa Facebook, Dias alisema alikuwa amefahamu kuhusu mpango wa kumuua yeye na Mondlane - na baadhi ya mpango huo unaonekana kutekelezwa Jumamosi usiku.

Mauaji ya Dias na Guambe, inasema "Mais Integridade", ni "kitendo cha vitisho dhidi ya wote wanaodai uwazi na ukweli katika uchaguzi wa 2024, ikiwa ni pamoja na wanachama wa muungano huu ambao wamekuwa wakikemea udanganyifu katika uchaguzi".

Taarifa hiyo inatoa wito kwa mamlaka "kuondoa uhalifu huu haraka, na kuhakikisha kwamba wale waliofanya wanawajibishwa".

Chanzo: AIM
Siasa sasa hivi siyo utumishi na ukombozi bali ni UKWASI ndiyo maana mauaji na utekaji vimezidi.
 
Wewe kama unakifahamu anachokificha, kiweke hadharani.

Kama maneno aliyoeleza kuhusiana na tukio alilofanyiwa hayatoshi ama hayalingani na ukweli, ongezea kutimiliza yaliyopungua.

Kusema tu 'kuna kitu anaficha' bila wewe kueleza kitu hicho ni nini, utakuwa na husda, ni fitina unaitengeneza kutaka watu wafuate hila zako.

Acheni uchawa na fitna zenu kwa watu msiowafahamuna na kuwalisha maneno yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
huyu alifumaniwa akala kichapo cha haja wana chadema wakaona wapindue meza chap wakasema ametekwa hebu tuambie mtu alipogwa akawa mahututi aliweza jekubebwa na boda mpaka mwananyamala hospitali na alipandaje boda akiwa mahututi na kutoka kibiti mpaka mwananyamala hakuna hospitali hapo kati mpaka apelekwe huko? dili limejulikana sasa tushaanza kuwajuwa chadema mbinu wanazotumia kuchafua serikali
 
Kwa hawa wanaofanya huu upunguani bin unyama bin ushetani wakumbuke kuwa;
1. Mungu wa kisasi yupo na kisasi hiki kitalipwa hapahapa duniani kwao, watoto hadi wajukuu zao.
2. Unyama huu hata maandiko yanasema "moto wa Allah utashuka kwao kama mwali wa radi"
3. Laana na imekaa juu ya vichwa vyenu na nyumba zenu hadi milele.
 
huyu alifumaniwa akala kichapo cha haja wana chadema wakaona wapindue meza chap wakasema ametekwa hebu tuambie mtu alipogwa akawa mahututi aliweza jekubebwa na boda mpaka mwananyamala hospitali na alipandaje boda akiwa mahututi na kutoka kibiti mpaka mwananyamala hakuna hospitali hapo kati mpaka apelekwe huko? dili limejulikana sasa tushaanza kuwajuwa chadema mbinu wanazotumia kuchafua serikali
Ulimfumania wewe???Mbona mna roho mbaya kihivyo.Kama alifumaniwa kwa nini hatua za msingi hazikuchukuliwa?Je aliyemfumania ni nani?
 
Ulimfumania wewe???Mbona mna roho mbaya kihivyo.Kama alifumaniwa kwa nini hatua za msingi hazikuchukuliwa?Je aliyemfumania ni nani?
hatua zingechukuliwaje wakati badala ya kuripoti, maelezo tu yanajidhihirisha nalikuwa anasema uongo mtupu sasa polisi wanachunguza ngoja muone mnavyoumbuka
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom