na mwanaume wa mtuAlifumaniwa na nani pumbavu?
Machawa ,machawa,machawa
Machawa.hatua zingechukuliwaje wakati badala ya kuripoti kafumaniwa kapigwa yeye kasema katekwa maelezo tu yanajidhihirisha nalikuwa anasema uongo mtupu sasa polisi wanachunguza ngoja muone mnavyoumbuka
Acha utoto siasa za vyama zisikutoe akili, unaweza kuongea ayo maneno?Alivuliwa au alivua mwenyewe? Kibiti kilimpeleka nini? Mwanamke wa kiislamu wa kizanzibari? Mmmmm
Isije kuwa hakukulipwa akaamua kuwawashia moto hao waliokataa kumlipa baada ya kumaliza mambo yao
Bora wapaganihakuna lolote, huyo kafata nini huko kibiti?
Ujinga tu.
Na huyo mwanamke ni mtu wa system siku nyingi, labda hajaisoma mipaka ya system.
Pumbafuuu WeweWanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.
Kuna fitna kubwa inapikwa hapa.
mwenzio kaumizwa unaleta utoto,Kibiti kilimpeleka nini ? Kule kulikuwa na ma Alshabab kibao ya kizanzibari
Asije kuwa alienda kuolewa na kamanda wa alshabab wakashindwana huko
Haya mambo mbona yana ongezeka kila siku au ndio aina mpya ya siasa, kusema ukweli haifai tuendelee hivi.Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.
Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.
Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya
whats way forward.Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.
Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.
Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya
Kafumaniwa kapata kipigo kwa mwanamke mwenziemwenzio kaumizwa unaleta utoto,
Watamuua kama walivyomuambiawhats way forward.
Uongozi wa Chadema unasema nini kuhusu hili tukio?Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.
Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.
Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya
Filamu imeshaungua.Tafuta uzushi mwingine.Hii ilikuwa hamjajipanga vizuri.Sterling kaumbuka.Watamuua kama walivyomuambia
Mungu atusaidie.Watamuua kama walivyomuambia
haya ndiyo ya kitoto zaidi,useme kafumaniwa wapi na nani!Kafuniwa kapata kipigo kwa mwanamke mwenzie
Sheria za Nchi zinasemaje?!Duh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Hizi wanazojirekodi akina Zuchu au zipi? 🐼Sheria za Nchi zinasemaje?!
Sijui kama umenielewa au ujanielewa kwasababu nsona unapandisha tu jazba kama vile nimekutajas wewe kuwa ndiyye informa haya matukio. Mimi nimejaribu kuchekii senario ya matukio mawili tu.. Ndiyo nimmeyatilia wasiwasiKwa hiyo wakihitaji kukuteka wewe kama hakuna mtu wa "kuwatonya" watashindwa?
Je, yule kijana wa Mbeya huko aliyechoma moto picha ya sa100 akahukumiwa, akaswekwa ndani, akachangiwa faini akatolewa akawa huru. Baadaye wakamteka nyumbani kwao na kutoweka naye, ni wewe uliwatonya watekaji?
Wa dini zingine sio dhambi au? Mnajikutaga nani labda? Special sana eeh. 🚮 Kemea maovu bila kujali itikadi ya aina yoyote. Wote binadamu. Muislam sio special.Duh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Ni ama hujui kitu au unajaribu kudanganya wajinga. Wewe ndo unajaribu kupotosha watu humuSijui kama umenielewa au ujanielewa kwasababu nsona unapandisha tu jazba kama vile nimekutajas wewe kuwa ndiyye informa haya matukio. Mimi nimejaribu kuchekii senario ya matukio mawili tu.. Ndiyo nimmeyatilia wasiwasi