Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Alivuliwa au alivua mwenyewe? Kibiti kilimpeleka nini? Mwanamke wa kiislamu wa kizanzibari? Mmmmm

Isije kuwa hakukulipwa akaamua kuwawashia moto hao waliokataa kumlipa baada ya kumaliza mambo yao
Acha utoto siasa za vyama zisikutoe akili, unaweza kuongea ayo maneno?
 
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================

Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.

Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.

Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Haya mambo mbona yana ongezeka kila siku au ndio aina mpya ya siasa, kusema ukweli haifai tuendelee hivi.
 
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================

Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.

Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.

Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

whats way forward.
 
Uongozi wa Chadema unasema nini kuhusu hili tukio?

Amandla...
 
Kwa hiyo wakihitaji kukuteka wewe kama hakuna mtu wa "kuwatonya" watashindwa?

Je, yule kijana wa Mbeya huko aliyechoma moto picha ya sa100 akahukumiwa, akaswekwa ndani, akachangiwa faini akatolewa akawa huru. Baadaye wakamteka nyumbani kwao na kutoweka naye, ni wewe uliwatonya watekaji?
Sijui kama umenielewa au ujanielewa kwasababu nsona unapandisha tu jazba kama vile nimekutajas wewe kuwa ndiyye informa haya matukio. Mimi nimejaribu kuchekii senario ya matukio mawili tu.. Ndiyo nimmeyatilia wasiwasi
 
Duh

Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Wa dini zingine sio dhambi au? Mnajikutaga nani labda? Special sana eeh. 🚮 Kemea maovu bila kujali itikadi ya aina yoyote. Wote binadamu. Muislam sio special.
 
Sijui kama umenielewa au ujanielewa kwasababu nsona unapandisha tu jazba kama vile nimekutajas wewe kuwa ndiyye informa haya matukio. Mimi nimejaribu kuchekii senario ya matukio mawili tu.. Ndiyo nimmeyatilia wasiwasi
Ni ama hujui kitu au unajaribu kudanganya wajinga. Wewe ndo unajaribu kupotosha watu humu
 
Back
Top Bottom