Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View: https://m.youtube.com/watch?v=UWMD2TZIRiA
Kiongozi wa BAWACHA - Gari jeupe Land Cruiser watu sita namba plate inaanzia na PT ...., mtambuzi mwanamke alinifuatilia toka stendi ya basi tukapanda wote nilidhani ni abiria wa kawaida ...
Sio tunapoelekea, sema tulipo.. tayar tushafika na safar inaendelea.Maskin daah tunapoelekea pabaya sana
Bora lukasi Mwashambwa hatokezi kwenye mada za kutekwa!,Huyu ni wa kumpuuza kama nziEndelea kudhani uko salama, Mungu siyo fala
Huwa wakiteka hugoma kutoa ushirikiano na polisi ndio zao haoPole sana kwa huyo mama. Ila hii haihitaji uprofesa kujua kuwa wahusika wa hili tukio wako ndani ya CHADEMA. Polisi ifanye kazi yake ijulikane wahusika.
Sawa sawa! uzuri upo wakati wako wa shida na wewe, ingawa sidhani kama utakumbuka furaha yako ya leo wakati na wewe unayapitia yakwako, ila napenda sana ukumbuke.Kibiti kilimpeleka nini ? Kule kulikuwa na ma Alshabab kibao ya kizanzibari
Asije kuwa alienda kuolewa na kamanda wa alshabab wakashindwana huko
Kabisa kuna kitu anafichaEti alikwenda Kibiti kutafuta wagombea???Yaani bado mwezi mmoja Uchaguzi unaenda kutafuta wagombea.Anyooshe maneno kuna jambo halisemi.
Alipewa kanga kama zawadi akakipokea, Kisha anaenda kuichoma hadharani. Kama alikuwa haitaki angeichomea ndani mwake au akapigia deki.Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao
View attachment 3130777View attachment 3130778
Wagojwa wa akili sio wote wanao okota makopo. Sasa kama wanatekana wenyewe hapo sio ndio serikali ya ccm ingenyesha umahili wake kwa kurusu uchuguzi huru wa kimataifa ili hao wanao tekana wajulikane ni kina nani ? Au hao wanao tekana ndio wanao miliki polisi na mahakama?Wanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.
Kuna fitna kubwa inapikwa hapa.
Sipo huko ila si muumini wa haya madhila ya watanzania wenzetuNi Kwa sababu wewe unaamini katika Siasa
Mimi nilivuka hizo level kitambo sana
Maisha bwana ni zamu zamu itafika zamu yako. Na yawezekana kwako ikaja kwa sura nyingine ila yatakuwa majibu ya furaha uliyo nayo kwenye maumivu ya wasio hatia,Aache kiherehere. Alipewa kanga kama zawadi akakipokea, Kisha anaenda kuichoma hadharani. Kama alikuwa haitaki angeichomea ndani mwake au akapigia deki. Sasa kiherehere Cha kujionesha Wacha akomeshwe. Tena amekomeshwa kidogo! KUMBAVU!!
Huko kubaya tushafika, sasa twendako kizani kabisaMaskin daah tunapoelekea pabaya sana
= umahiri.Wagojwa wa akili sio wote wanao okota makopo. Sasa kama wanatekana wenyewe hapo sio ndio serikali ya ccm ingenyesha umahili wake kwa kurusu uchuguzi huru wa kimataifa ili hao wanao tekana wajulikane ni kina nani ? Au hao wanao tekana ndio wanao miliki polisi na mahakama?
Eti aliweza kusoma namba PT kwenye Land Cruiser Nyeupe lakini hakumbuki namba huku akisema ilikuwa mchana kweupe.Anadai alipoteremka kwenye basi bodaboda wake alikuwa akimsubiriJe alimleta bodaboda kama shahidi?Kabisa kuna kitu anaficha
Ila kwa mama wa dini nyengine sio dhambi sio? 😃Duh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Zamu yangu ikifika ntakuwa mnyenyekevu balaa! Naacha mitandao. Mimi nyumbani na kanisani tu. Nipo kama sipo.Maisha bwana ni zamu zamu itafika zamu yako. Na yawezekana kwako ikaja kwa sura nyingine ila yatakuwa majibu ya furaha uliyo nayo kwenye maumivu ya wasio hatia,