Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #161
Huna akiliHuyu mama kama anatudanganya haya ni Maigizo, yaani mtu upewe kipigo cha Nguvu leo uitishe press, uongee kwa namna ile, Chadema acheni drama hili igizo lenu mmfail..
Bwege mtozeni.hakuna lolote, huyo kafata nini huko kibiti?
Ujinga tu.
Na huyo mwanamke ni mtu wa system siku nyingi, labda hajaisoma mipaka ya system.
Haya mambo hayana, mwisho mzuri kwetu kama Taifa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=UWMD2TZIRiAKiongozi wa BAWACHA - Gari jeupe Land Cruiser watu sita namba plate inaanzia na PT ...., mtambuzi mwanamke alinifuatilia toka stendi ya basi tukapanda wote nilidhani ni abiria wa kawaida ...
Wamenidhalilisha walinivua nguo na kunipiga picha nikiwa uchi .... wamenitishia nikiita press conference watavujisha picha hizo za kunidhalilisha ...
Nimepata kipigo kikali mwili wote umevilia damu nawaonesheni sehemu za mikono na miguu muone jinsi maungo yakivyovilia ila siwezi kuwaonesha sehemu nyeti za mgongoni, tumboni ...l
Lakini hospitali ya Mwananyamala nilipopelekwa madaktari na manesi walinikakuga mwili wote kuona kipigo nikichopata ili waweze kunipa huduma sahihi na kunipeleka chumba cha X-Ray kuona majeraha ya ndani ya mwili ...
HatariMbona kitambo tu rekodi ya jiwe imeshavunjwa.
Sisimizi hawajui Kama Kuna maisha zaidi ya haya ya kupita. Wanadhani viieit ndio mpango mzima.Duh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Punguza ushabiki wa kijinga kijana, kuchoma ma vitenge ya mwanamke katili na muuaji si dhambi.Kibiti kilimpeleka nini ? Kule kulikuwa na ma Alshabab kibao ya kizanzibari
Asije kuwa alienda kuolewa na kamanda wa alshabab wakashindwana huko
Kurekodi mtu yoyote tu sio sawaDuh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Kwahiyo aliyetekwa katibu WA bavicha temeke naye ni muislam! Inaonekana bado wewe ni kahabaWanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.
Kuna fitna kubwa inapikwa hapa.
Hicho kituo anachosema cha Jaribu ni pako kipori pana msikiti wa waislamu wa siasa kali halafu sehemu hiyo polisi waliwahi uawa na magaidi wakiwa hapo kituoni kikaxiPolisi mtakufa na kuhama huku mtaani shauri yenu, kiama chenu kitawafikia.
Yaani nakumbuka Samia alisema hana tofauti na mwendazake ila huyu naona kiboko zaidi.Zimebaki hatua chache watu wavunje rekodi za JIWE .
Allah amtie nguvu muhanga mama huyu aliyeonewa akiwa hana hata silaha.
Tena kahaba wa bei poa kama wa pale KimbokaKwahiyo aliyetekwa katibu WA bavicha temeke naye ni muislam! Inaonekana bado wewe ni kahaba
Utu wa mtu hauhutaji dini, rangi, itikadi wala kabila!!Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Kwa hiyo unathibitisha kuwa watekaji wametumwa na Samia kulipiza kisasi? Asante kwa taarifa.Hawa si ndio walikuwa wanaimba "hakuna muuaji km Samia" walimpa na tuzo wakachapisha na khanga.. sasa jini limetoka kwenye chupa ninawalamba mmoja mmoja.