Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Huyu mama kama anatudanganya haya ni Maigizo, yaani mtu upewe kipigo cha Nguvu leo uitishe press, uongee kwa namna ile, Chadema acheni drama hili igizo lenu mmfail..
Huna akili
 
Akina mbowe wavunje hilo group lao la siasa maana wanawaponza wazazi wa watu.Bongo tuna weza siasa za kupongeza viongozi wetu, na sio siasa zaa vyama vingi.Yaani nkam wanawake wakikristo wasivyo weza ndoa za mitaara.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=UWMD2TZIRiA
Kiongozi wa BAWACHA - Gari jeupe Land Cruiser watu sita namba plate inaanzia na PT ...., mtambuzi mwanamke alinifuatilia toka stendi ya basi tukapanda wote nilidhani ni abiria wa kawaida ...

Wamenidhalilisha walinivua nguo na kunipiga picha nikiwa uchi .... wamenitishia nikiita press conference watavujisha picha hizo za kunidhalilisha ...

Nimepata kipigo kikali mwili wote umevilia damu nawaonesheni sehemu za mikono na miguu muone jinsi maungo yakivyovilia ila siwezi kuwaonesha sehemu nyeti za mgongoni, tumboni ...l

Lakini hospitali ya Mwananyamala nilipopelekwa madaktari na manesi walinikakuga mwili wote kuona kipigo nikichopata ili waweze kunipa huduma sahihi na kunipeleka chumba cha X-Ray kuona majeraha ya ndani ya mwili ...

Haya mambo hayana, mwisho mzuri kwetu kama Taifa.
 
Mpaka na wao waanze kutekwa na kuuliwa ndi nchi hii tutakaa sawa. Bila hivyo, tutalia sana.
 
Baada ya kusoma maoni unagundua mwafrika sio masikini bahati mbaya, sio mjinga bahati mbaya, hafananishwi na mnyama kwa bahati mbaya.
 
Kibiti kilimpeleka nini ? Kule kulikuwa na ma Alshabab kibao ya kizanzibari

Asije kuwa alienda kuolewa na kamanda wa alshabab wakashindwana huko
Punguza ushabiki wa kijinga kijana, kuchoma ma vitenge ya mwanamke katili na muuaji si dhambi.
 
Ukisikiliza vizuri hiyo clip.kuna uongo mwingi mfano anasema akapitishwa eneo lina msitu mnene alilionaje wakati alikuwa kafungwa kitambaa usoni?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.

Kuna fitna kubwa inapikwa hapa.
Kwahiyo aliyetekwa katibu WA bavicha temeke naye ni muislam! Inaonekana bado wewe ni kahaba
 
Polisi mtakufa na kuhama huku mtaani shauri yenu, kiama chenu kitawafikia.
Hicho kituo anachosema cha Jaribu ni pako kipori pana msikiti wa waislamu wa siasa kali halafu sehemu hiyo polisi waliwahi uawa na magaidi wakiwa hapo kituoni kikaxi

Sijui kilimpeleka nini pale mwanamke huyo wa kiislamu Huenda alikuwa kwenye huo msikiti akikutana na watu kupanga ugaidi
 
Hawa si ndio walikuwa wanaimba "hakuna muuaji km Samia" walimpa na tuzo wakachapisha na khanga.. sasa jini limetoka kwenye chupa ninawalamba mmoja mmoja.
Kwa hiyo unathibitisha kuwa watekaji wametumwa na Samia kulipiza kisasi? Asante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom