Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.

Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na Rais
SuluhuSamia katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2023 mkoani Kilimanjaro.

Kwa sasa amefikishwa hospitali kwa ajili ya matibabu na ameingizwa chumba maalum cha upasuaji (Theatre) kwa huduma zaidi.Taarifa za kina zitakuja hapo baadaye kadiri ya tutakavyozipokea.




Pia soma:
 
Kumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza
 
Kibiti so ndio kulikuwa na magaidi huko waliokuwa wakiua watu kazi gani za chama alienda kufanya huko kibiti?
 
Abdul Mungu anakuona.
 
Sasa mtu amewaletea suluhu ya kisiasa na uhuru wa kujieleza mkamchomea vitenge vyake 😂😂😂

Si walimshangilia sana kwamba hatawatesab😂😂 anyway tuendelee kutazama huu mchuano
 
Kuna siku madhalimu wote watalipia hizi damu wanazomwaga
 
Kwa mambo yanayotokea sasa inadhihirisha kabisa Uongozi wa Chadema ni dhaifu. Don’t moan, take actions
 
huenda wenye kuhitaji vile vitenge vilivyochomwa walipata hasira sana kwamba why this,

ingawa kuchoma vitenge sio jambo la kiungwana lakini pia kumpiga mtu kwa hasira sio jambo zuri pia 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…