Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa swala la kuchoma vitenge lina sababu gani ya kumuadhibu mama wa watu, wao hasira zao wameamua kuchoma vitenge sasa kunasababu gani ya kumuua. Hii nchi inakwenda kubaya hili kundi la kigaidi likichekewa linaweza kusababisha machafuko nchini kwasababu watu wenye akili zao hata humo serikalini hawezi kukubaliana na upuuzi wanamna hii. Yaani msipishane kauli basi mtu anapotezwa sasa hiyo ni nchi au jehanamu.
Sasa na nyinyi mnachomaje vitenge mlivyopewa kama zawadi!? Basi kama hamvitaki just back to sender !!
 
kutoka kibiti amepekelwa hospitali gani? na ka nini avuke hospitali zote mpaka kufika huko anakotibiwa? kuna jambo limefichwa
Hakafu eti anavyosema mwenyewe alipandishwa kwenye bodaboda akiwa hoi!!! Hadi mwananyamala

Yaani bodaboda apakie mtu yuko hoi toka kibiti tunaokujua kibiti tunajua umbali wake .Toka Mwananyamala hadi kibiti ni kilomita 142 kwa bodaboda huku akiruka njiani hospitali kibao za serikali na binafsi na vituo vya polisi kibao hadi kufika mwananyamala hospitali ya serikali

Huo ni uongo ulikubuhu

Ni mjinga tu aweza amini hilo tukio lilitokea kibiti nilushangaa hata ITV na sijui kituo cha Haki za binadamu kutangaza kwenye taarifa yao ya habari tukio kama lile

Weledi wa waandishi wa habari unazidi kuporomoka wanegeuka tu kuwa ma ripota wa kuripoti chochote hakuna cha kufanya background check

Na kituo cha haki za binadamu nao wajitathimini sio tu kudakia chochote na kuja na tamko ohh tunalaani jiridhisheni kwanza
 
Back
Top Bottom