mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
No vita vya tembo na siafu subirinivita vya panzi bana š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No vita vya tembo na siafu subirinivita vya panzi bana š¤£
Sasa na nyinyi mnachomaje vitenge mlivyopewa kama zawadi!? Basi kama hamvitaki just back to sender !!Sasa swala la kuchoma vitenge lina sababu gani ya kumuadhibu mama wa watu, wao hasira zao wameamua kuchoma vitenge sasa kunasababu gani ya kumuua. Hii nchi inakwenda kubaya hili kundi la kigaidi likichekewa linaweza kusababisha machafuko nchini kwasababu watu wenye akili zao hata humo serikalini hawezi kukubaliana na upuuzi wanamna hii. Yaani msipishane kauli basi mtu anapotezwa sasa hiyo ni nchi au jehanamu.
Hakafu eti anavyosema mwenyewe alipandishwa kwenye bodaboda akiwa hoi!!! Hadi mwananyamalakutoka kibiti amepekelwa hospitali gani? na ka nini avuke hospitali zote mpaka kufika huko anakotibiwa? kuna jambo limefichwa
Mtu kashapewa mwenyewe anaamua afanye nini. Kwani alipo wapa walipeana mkataba wowote.Sasa na nyinyi mnachomaje vitenge mlivyopewa kama zawadi!? Basi kama hamvitaki just back to sender !!