Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi hawa vyama vya upinzani kwanini wasitafute kazi nyingine ya kufanya?
Kwani ni lazima kufanya siasa?

Kama wanaipenda Sana siasa basi waende huko huko ccm ama sivyo watakuja kufa.

Waende wakapambanie mabadiliko huko huko ndani ya ccm hii nchi haiko tayari kuona ccm inaondolewa madarakani waiache ccm itawale nchi itakavyo. Watakuja kufa bure
Wakifanya ivo hali itakuwa mbaya zaidi ...watawala wakishajua watetezi wa wananchi hawapi watafanya ukatili wa kutisha
 
Alaooh itafikia hatua watu tutaogopa hata kuchoma vijizawadi, vimemo na picha za maEx wetu.
 
Dawa ya moto ni moto,kama ni kweli nao wawafanyie hivyo hivyo upande wa pili.
By the way,hiyo ndio siasa,ukiingia kubaliana na kila kitu over
 
Back
Top Bottom