Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mkuu kwa hili hata kwa dodoki hasafishiki........yeye ni founderJPM alisingiziwa mengi sana
Wakifanya ivo hali itakuwa mbaya zaidi ...watawala wakishajua watetezi wa wananchi hawapi watafanya ukatili wa kutishaHivi hawa vyama vya upinzani kwanini wasitafute kazi nyingine ya kufanya?
Kwani ni lazima kufanya siasa?
Kama wanaipenda Sana siasa basi waende huko huko ccm ama sivyo watakuja kufa.
Waende wakapambanie mabadiliko huko huko ndani ya ccm hii nchi haiko tayari kuona ccm inaondolewa madarakani waiache ccm itawale nchi itakavyo. Watakuja kufa bure
usipoangalia Nchi inaelekea Kuzimu !Huyo ni karibu mwenezi, je Mimi na wewe?
Ukiambiwa utoke kwenye maandamano unajitia mgonjwa wanafiki wakubwa mbowe na lissu wamewashtukia!Sawa sawa Chawa
Sawa ChawaUkiambiwa utoke kwenye maandamano unajitia mgonjwa wanafiki wakubwa mbowe na lissu wamewashtukia!
Kiama basi wanakitambua basiInashangaza kuwa na chama tawala kisichojiamini. Mtateka, mtaua na kuumiza wangapi? Damu zinazomwagwa siku ya kiama zitatakwa.
Mbona mambo yanaendelea na jamaa hayupoMkuu kwa hili hata kwa dodoki hasafishiki........yeye ni founder
Unaelewa maana ya Founder?Mbona mambo yanaendelea na jamaa hayupo
Kibiti sio Tanzania?Kibiti so ndio kulikuwa na magaidi huko waliokuwa wakiua watu kazi gani za chama alienda kufanya huko kibiti?
walianza kuumizwa tangu Enzi za Awamu ya Nne !Mkuu kwa hili hata kwa dodoki hasafishiki........yeye ni founder
Refer to Doctor Ulimboka π³πUnaelewa maana ya Founder?
Kwani ni kipi alikianzisha kimesimama ili useme hiki usemacho?Mbona mambo yanaendelea na jamaa hayupo
Sio vitenge vyake bhana....Sasa mtu amewaletea suluhu ya kisiasa na uhuru wa kujieleza mkamchomea vitenge vyake ππ
Wanajitoa ufahamu tu.Kiama basi wanakitambua basi
Hata mimi nimetaka kuuliza hili swali mleta uzi tujibu hilo swali watekaji hawajamuonja kweli?Hawajamnaniliu kweli
Kwahiyo asingetengeneza kesi ya kubambika mtoto wake asingekufa?Kuna mtu alimtengenezea mwenzake kesi ya kubambika.......baada ya miezi miwili tu mwanaye akafa kwa ajali.
Karma is real.