KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mimi hapa.....Ni kiongozi gani atatuwakilisha kwe Mazishi?
Teh teh teh
nakumbuka enzi hizo,kila wimbo wa twanga,lazima usikie jina la Fikiri Madinda likitajwa.sijui alikuwa nani huyu mtu.anyway, RIP mnenguaji A.Madinda.
siyo lazima kuumwa
R.I.P
r.ip ila kifua kitatumaliza
Masikini mango Gardeni tumepoteza maana katika Twanga ya 2010 alikuwa na mauno ya hataree,
R.I.P Asha Mbegu Madinda sio jina lake kwani Fikiri Madinda alikuwa hawala tu hakumuoa.
mpaka kurudi bongo, alisha teseka sana uarabuni.. Dah ila waarabu wanaroho ngumu sana asee
Duh.... inasikitisha sana
Alikuwa anaishi nae pale sinza na kisheria ukipika kupakua na.mtu kwa miezi 6 ni mkeo period