TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

Masikini mango Gardeni tumepoteza maana katika Twanga ya 2010 alikuwa na mauno ya hataree,
R.I.P Asha Mbegu Madinda sio jina lake kwani Fikiri Madinda alikuwa hawala tu hakumuoa.
 
Dah alikuwa bonge la mnenguaji lkn akaja kuwa bonge la teja
 
nakumbuka enzi hizo,kila wimbo wa twanga,lazima usikie jina la Fikiri Madinda likitajwa.sijui alikuwa nani huyu mtu.anyway, RIP mnenguaji A.Madinda.

Mumewe lakini walishatengana akawa anajiita Aisha mbegu
 
mpaka kurudi bongo, alisha teseka sana uarabuni.. Dah ila waarabu wanaroho ngumu sana asee
 
siyo lazima kuumwa

R.I.P

Nimepitia comment 1 baada ya nyingine , zilizotupiwa kunako Uzi huu, comment hii ya chakii kwangu mie ndiyo imekua "mchezajinyota" (man of the match)
Kwamba kudedi si lazima kutanguliwe na kuumwa ! Mathalan wafao kwa accident wote hufa pasipo kugonjweka .
 
Last edited by a moderator:
Kwa habari zilizotufikia aliyekuwa mcheza show maarufu wa bendi ya Twanga Pepeta aisha madinda amefariki mchana huu ktk hospital ya mwananyamala, Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Amin..!
 
Masikini mango Gardeni tumepoteza maana katika Twanga ya 2010 alikuwa na mauno ya hataree,
R.I.P Asha Mbegu Madinda sio jina lake kwani Fikiri Madinda alikuwa hawala tu hakumuoa.

Alikuwa anaishi nae pale sinza na kisheria ukipika kupakua na.mtu kwa miezi 6 ni mkeo period
 
Nilikuwa napenda sana kumwona akinengua na Twanga Pepeta. Wakati huo, napenda pia Banza Stone alivyokuwa akiimba. Maisha yao yalivyoanza kuharibika, nami nikajikuta naacha kupenda Twanga Pepeta. Nikaacha kupenda muziki wa bendi kabisa. Niliona kama wenye bendi wanatajirika huku maisha ya watumishi wao yakizidi kuharibika. Hizi bendi, ni aina nyingine ya utumwa mambo leo. Tazama maisha ya wasanii wake utaishia kusikitika. Pumzika kwa amani Aisha Mbegu.
 
Hili jina huwa nalisikia lakini leo ndo nimeona picha yake.
 
Back
Top Bottom