TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

Alikuwa anaishi nae pale sinza na kisheria ukipika kupakua na.mtu kwa miezi 6 ni mkeo period

ninaBEKI3 na anakaribia miaka 2unusu pika pakua LALA afu yuko fit acha kabisa!! nimemnenepesha mwenyeeewe maana alikuja choka mbaya toka NTWAALA nanjilinji. je huyu atakuwa ni MUKE YANGUUUU yani nimemuwowaa???
 
Kifo hakina mtemi ila tukiwa wazima tusijisahau sana Mungu anachukia ..Pole sana wafiwa
 
Hakuna na tabu tabu ilianza pale alipoanza kumpiga bwibwi huyu mama ulikuwa na saluni
Nyingi tu za kina mama
 
Kwa hiyo ukichukua msichana huko unakosoma awe anakuhudumia kwa mwaka mmoja ni mkeo? kupakua sio tatizo tatizo ni kutolewa mahari ndio unaweza kubadilisha jina.

Ndo manake we chukua umzingue halafu akupeleke mahakamani uone kama hujaambiwa ni mkeo
 
R.I.P aisha mbegu,ulfanya nkatoroka nyumban mwaka 2005 kuja kukuona triple A,mlvyokua mnazindua albam yenu ya safari 2005.
hujamalizia.. enh!! ulivotoroka ulilala hukohukoo au ndo ulirejea mishale mibaya kwa kunyata kama kibaka..
 
hahaha leo tutayajua mengi ya chini ya kapet
 
Kwa hiyo ukichukua msichana huko unakosoma awe anakuhudumia kwa mwaka mmoja ni mkeo? kupakua sio tatizo tatizo ni kutolewa mahari ndio unaweza kubadilisha jina.

Hiyo ni kwa kikwenu kabisa😱😱😱 habari za mahari ......ila kuishi na mwanamke miezi hiyo unagonga ngozi unafuliwa na mengeneyo unahalalisha ni mkeo pale pale kisutu ndo utajua
 
ninaBEKI3 na anakaribia miaka 2unusu pika pakua LALA afu yuko fit acha kabisa!! nimemnenepesha mwenyeeewe maana alikuja choka mbaya toka NTWAALA nanjilinji. je huyu atakuwa ni MUKE YANGUUUU yani nimemuwowaa???

Endelea...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…