hii post ilipowekwa ilikuwa haina hayo maelezo,nimejibu kutokana na post kabla haifanyiwa editing.
Mimi wakati ninapanga nilikuwa nawagonga wadada 2 wa mwenye nyumba wangu kwa miaka miwili na nikiomba msaada wa kufuliwa nafuliwa sasa hivi wameolewa hivyo je ni wake zangu? kumbuka mama mwenye nyumba alikuwa anajua .
Mumewe lakini walishatengana akawa anajiita Aisha mbegu
Imeandikwa kila nafsi itaonja mauti. na kwa hakika umauti ni mawaidha tosha kwa wenye kuamini.maisha ya duniani ni mafupi sana ila wanadamu tunajisahau sana na maisha haya ya mpito. anza leo kumuabudu Muumba wako usisubiri kesho huenda sasa hivi ndio ikawa pumzi yako ya mwisho.
Hiyo ni kwa kikwenu kabisa😱😱😱 habari za mahari ......ila kuishi na mwanamke miezi hiyo unagonga ngozi unafuliwa na mengeneyo unahalalisha ni mkeo pale pale kisutu ndo utajua
Ingawa sio mahala pake,ngoja nikueleweshe kidogo.
Kinachozungumzwa na watu kimakosa kuhusu aina hii ya ndoa kisheria inaitwa presumption of marriage.ni kwamb ukiishi na mwanamke kwa miaka 2 mfululizo kama mke na mume inapotokea mgogoro inaweza kutambulika kwmb ninyi ni wanandoa
1.sharti wote muwe hamjaoa au kuolewa
2.mkae miaka 2 mfululizn
3.jamii iwachukulie ninyi ni wanandoa.
Kifungu 160 sheria ya ndoa mwaka 1971.[/QUOTE
Ulikuwa unangoja nini?
Na hapa ndo mahala pale haswaa
Ndo maana ya jf tuko hapa kuelimishana sio kuitana waZUshi
Jamani sheria ya wapi hii? Mbona uzushi huu unapendwa hivi!! Kwa Tz ni miaka 2 mfululizo na kuna masharti yake.
Ingawa sio mahala pake,ngoja nikueleweshe kidogo.
Kinachozungumzwa na watu kimakosa kuhusu aina hii ya ndoa kisheria inaitwa presumption of marriage.ni kwamb ukiishi na mwanamke kwa miaka 2 mfululizo kama mke na mume inapotokea mgogoro inaweza kutambulika kwmb ninyi ni wanandoa
1.sharti wote muwe hamjaoa au kuolewa
2.mkae miaka 2 mfululizn
3.jamii iwachukulie ninyi ni wanandoa.
Kifungu 160 sheria ya ndoa mwaka 1971.[/QUOTE
Ulikuwa unangoja nini?
Na hapa ndo mahala pale haswaa
Ndo maana ya jf tuko hapa kuelimishana sio kuitana waZUshi
Naamini umeujua ukweli sasa hautasema tena miezi 3..haya kawaeleze na wengine.
Sio kutengana, kuachana kabisa.
Na sio kwamba anajiita, Aisha Mbegu ndio jina lake la asili kabla ya haya ya kuolewa na kunengua.
Naamini umeujua ukweli sasa hautasema tena miezi 3..haya kawaeleze na wengine.
Imeandikwa kila nafsi itaonja mauti. na kwa hakika umauti ni mawaidha tosha kwa wenye kuamini.maisha ya duniani ni mafupi sana ila wanadamu tunajisahau sana na maisha haya ya mpito. anza leo kumuabudu Muumba wako usisubiri kesho huenda sasa hivi ndio ikawa pumzi yako ya mwisho.
Bado mpaka nielewe na akili ikubali siwezi badilika kirahisi rahisi
Dada yangu nadhani kuna tatizo zaidi ya ninavyoona..hatushindani tunaelimishana,hiyo sheria sijaitunga mimi.