Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
peace!Nimekupata mkuu ....ila treni wanadandiaga kwani kama baiskel?
Kwa taarifa niliyoipata muda huu toka Clouds Fm. Amefikishwa Mwananyamala Hosp, akiwa tayari keshapinda.
Fafanua hatujakuelewa, umetuacha kizani
N yeye alimanusuru, sura tu ndio iliyoacha mwili naye ningengegeda, chezea ujana weye, ila mchezo huio nishaacha baada ya kuona.Huyo mama mwenye nyumba wako ni 'kiboko'!
Oooh jamanii aliumwa? RIP Aisha
Kwa taarifa niliyoipata muda huu toka Clouds Fm. Amefikishwa Mwananyamala Hosp, akiwa tayari keshapinda.
Kwani Wewe Ulikuwa Hujui Kama Ni Muathirika Wa NGWENGWE Tokea Kipindi Kila Cha Hayati Amina Chifupa? Walikuwa Wakishea Bwana Wake Na Huko Kusema Sijui Eti Kafa Na Utumiaji Wa Utumiaji Wa Madawa Ya Kulevya Ni Kutaka Tu Kupoteza Lengo Na Kuficha Ukweli. Huyo Binti AMETUMIKA sana Na Mapedeshee Na Kuna Wakati Alikuwa Akienda Hadi MUSCAT Kuuza Tigo Yake Na Yeye Ndiyo Amewaambukiza Akina NYOOOSHA, ALIYE CHOKA na JIBANZE JIWE Na Kwa Sisi Wadau Wa Muziki Wa Dansi TUNALIJUA HILO MUDA MREFU Tu. Huu UGONJWA UMESHAWAUMIZA Wengi Tu Haswa Twanga Pepeta, FM Academia Na MASHUJAA Band.........Mtakaochukia au Kunichukia Kwa UKWELI Huu Poa Tu ILA Huyu Dada Namjua KINDAKI NDAKI! Bwana Ametoa Na Bwana Ametwaa JINA LAKE LIHIMIDIWE...Amina!

aizee...una vipimo vyao wote hao!...ila hatari..
Aah mamdenyiiii upoooo