Aisha Said aka Dj Sinyorita, kumbe ana shanga kilo kiunoni

Aisha Said aka Dj Sinyorita, kumbe ana shanga kilo kiunoni

Survey kumepoa saivi wote wako mikoani kwao. Subiri November ifike maana naona kichupa kimekujaa๐Ÿ˜†
Mlimani city huwa hapapoi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nikiaaga kwenye angle yangu pale, nina scan tuu.. survey siwezi enda tegea kule sio point nzuri ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ bora nikapaki gari geti kule kama chuo cha maji lazima uopoe pale
 
Aiseeeeeee kumbe una hadi angle zako๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’Iโ€™m done with you for real.
 
Mnyongeni mnyongeni hadi ulimi utoke nje, nimekubali matokeo ๐Ÿ™๐Ÿ™ acha mapedeshee nyau nyau wafaidi
Sema hakuna sehemu ya voice note ila nimecheka kwa nguvu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†mkaka mpuuzi kweli wewe
 
Sema hakuna sehemu ya voice note ila nimecheka kwa nguvu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†mkaka mpuuzi kweli wewe
Ukiweka voice naipigia ka mkono ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ ingawa nayo hutaki, daah
 
Hizo nyama nyama umezionea wapi we mwanaume ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’si nshakwambia Iโ€™m done with you au niongee kihispaniola
Mguu huo unaongea, sio unapiga kitu kama una noa kisu kwa tupa ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Back
Top Bottom