Aishi Manula afanyiwa upasuaji Afrika Kusini

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield 🇿🇦

Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa nje kwa muda gani mpaka pale watakapohudhuria kliniki ya mwisho kesho Ijumaa.
68266E66-A696-4128-851F-0587AB46F7D8.jpeg
 
Tunamuonbea Apone Haraka Tanzania One..

Ila Kuna Kila DALILI ya kumkosa Super Cup.

HUYU NI HADI MWEZI WA 9 NDIO ATARUDI UWANJANI.
 
Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield 🇿🇦

Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa nje kwa muda gani mpaka pale watakapohudhuria kliniki ya mwisho kesho Ijumaa.
View attachment 2642731

Uponaji mwema.

Netvare = Netcare
 
Back
Top Bottom