Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

Aliposema Leo saa tano ana kikao na waandishi wa habari wengi walijifanya watabiri oh anasepa Simba kumbe imekuwa tofauti.
Amefanya Jambo la kuigwa na wenzake na sio kupost upuuzi mtandaoni.
 
Golikipa wa Klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania, Aishi Manula hii leo amefungua duka lake la vifaa vya Michezo Kinondoni Morocco.

Hongera sana, AISHI 🙌🏿
View attachment 2937098
Zile pesa tulizomwonga dogo kaenda fungulia duka. Safi sana. Asidhani tutaendelea kumpa tena pesa aachie magoli.
 
Back
Top Bottom