Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

Hongera sana kwake.....pia ushauri wa bure.....atafute kiwanja ajenge chumba sebule hata 40 akiweza atanishukuru baadae.....chumba 1 ....10ft by 10ft ni 1mil tu ....ushauri wa bure.....mpira suala mpito
.
Inadhani hana nyumba??
 
Hongera sana kwake.....pia ushauri wa bure.....atafute kiwanja ajenge chumba sebule hata 40 akiweza atanishukuru baadae.....chumba 1 ....10ft by 10ft ni 1mil tu ....ushauri wa bure.....mpira suala mpito
.
Usniambie huyu jamaa hajajenga na mapesa yote hayo wanayopata
 
Unataka
Unataka Kufanya kitu gani nikusaidie mawazo ? Kwa faida ya wengi?
Naomba nilelekeze kwa ufupi ku balance milion milion moja kutoa chumba na hatua itakayofika, umesema umejenga 10 kwa style hyo hvo sina shaka na uzoefu wako
 
Hahaha nyumba ya milioni utapika nini ya kula hadi unialike?
Mwalike fundi maiko inatosha🤣🤣
Bro nyumba ya kawaida sana dar 250,000 ya vyumba viwili..umeme, maji, taka na utilities tuseme 300,000 kwa mwezi kwahiyo 3.6M annually, hapo bado bajeti ya msosi, unafkiri vijana wadogo tunaota upara bahati mbaya? Kama ipo ya 1M najitosaaa
 
Back
Top Bottom