pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
Nilipata kamilioni, nikasema nijenge chumba Cha kufikia shamba Bado pagale, haijaisha....Kwani wewe uko wapi ? Piga hesabu kitu kimoja kimoja tuone maana unaona miujizaa
Ujenzi Bado upo juu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipata kamilioni, nikasema nijenge chumba Cha kufikia shamba Bado pagale, haijaisha....Kwani wewe uko wapi ? Piga hesabu kitu kimoja kimoja tuone maana unaona miujizaa
Mkuu nishawahi kujenga before mkoani na gharama kubwa zaidi ndio mana nikawa na shauku sana, sio ujinga kuuliza si mtu mzima huyo kaandika humu? Kila mjuaji ana mtaalamu zaidi yake kua open kusikia mawazo ya watu, ilitakiwa tumsisitize atupe mchanganuo huyo mwambaKama imani yako ni rahisi namna hii, basi chukua na hili. Mimi hapa nina gari linatumia maji hivyo sina gharama za kununua mafuta. You see?
In short nataka kusema hivi, acha upuuzi. Kama chumba kimoja kinagharimu milioni moja ina maana nyumba nyingi sana mjini ziko chini va milioni 10. Sababu zina vyumba vitatu au vinne nyingi. Hata muuza ukwaju wa Azam angejenga.
Mkuu ukiwa mtu wa kusikiliza kila kitu utakuwa mpoteza muda na mtu wa kujaribujaribu na visivyowezekana hata kutapeliwa au kuingia hasara.Mkuu nishawahi kujenga before mkoani na gharama kubwa zaidi ndio mana nikawa na shauku sana, sio ujinga kuuliza si mtu mzima huyo kaandika humu? Kila mjuaji ana mtaalamu zaidi yake kua open kusikia mawazo ya watu, ilitakiwa tumsisitize atupe mchanganuo huyo mwamba
Aliyeanzisha hii mada pumbafu zake😂Kama imani yako ni rahisi namna hii, basi chukua na hili. Mimi hapa nina gari linatumia maji hivyo sina gharama za kununua mafuta. You see?
In short nataka kusema hivi, acha upuuzi. Kama chumba kimoja kinagharimu milioni moja ina maana nyumba nyingi sana mjini ziko chini va milioni 10. Sababu zina vyumba vitatu au vinne nyingi. Hata muuza ukwaju wa Azam angejenga.
LAbda vile vyumba vya tandale izuri vya kuunga na kupaua na mabati kuukuu ya kuokota cc madebeMkuu nishawahi kujenga before mkoani na gharama kubwa zaidi ndio mana nikawa na shauku sana, sio ujinga kuuliza si mtu mzima huyo kaandika humu? Kila mjuaji ana mtaalamu zaidi yake kua open kusikia mawazo ya watu, ilitakiwa tumsisitize atupe mchanganuo huyo mwamba
Mkuu nitaweka karamani hapa unikadirie bossMkuu huwa siongei hewani, weka ka ramani kako nikukadirie kishkaji
Unajuaje km hana nyumba?Hongera sana kwake.....pia ushauri wa bure.....atafute kiwanja ajenge chumba sebule hata 40 akiweza atanishukuru baadae.....chumba 1 ....10ft by 10ft ni 1mil tu ....ushauri wa bure.....mpira suala mpito
.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nyumba ya milioni utapika nini ya kula hadi unialike?
Mwalike fundi maiko inatosha[emoji1787][emoji1787]
Coca upo mdogo wangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nipoo sanaa mbona.Coca upo mdogo wangu?
Kitambo sana
Tunapishana naonaMie nipoo sanaa mbona.
Sijasema hana nyumba nimeshauri na hizo ni za kupangisha elewa hapo ......mpira kama maji moto yanapoaaa wanalia njaa sanaaUnajuaje km hana nyumba?
😄 hivi duka la kaseja lipo badoASTAAFUSASAA
NA NYIE MKANUNUE SIO KUJA NA TAARIFA
MKAMUUNGEMKONO
Amekuambia hajajengaHongera sana kwake.....pia ushauri wa bure.....atafute kiwanja ajenge chumba sebule hata 40 akiweza atanishukuru baadae.....chumba 1 ....10ft by 10ft ni 1mil tu ....ushauri wa bure.....mpira suala mpito
.
Umesema ukweli kabisaaaSafi sana kijana...sio kutumbua tuu mkistaafu kucheza mnaanza kutia huruma..
Sio ya kuishi hii ya biashara....huuu ushauri wa bureAmekuambia hajajenga