Tetesi: Aishi Manula anakaribia kujiunga na Azam FC

Tetesi: Aishi Manula anakaribia kujiunga na Azam FC

Maduka yote ya jiesiem ndani ya Simba yamesafishwa. Anzia Inonga na sasa Manula. Mwaka ujao simba bingwa .
Hivi kwanini tusiwe tunawaaga kwa heshima hawa Wachezaji ambao kuna kipindi walitupa furaha tukatatamba mbele ya wapinzani wetu?

Kwanini tunapotaka kuachana na mchezaji tumuite majina mabaya?
 
Mlipofungwa 5 mlimfukuza kocha..! Kwahiyo na robertinho alikua Duka? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana Rage aliwaita MBUMBUMBU
Hahah ila hili jina la MBUMBUMBU linachekesha sana.
 
Back
Top Bottom