princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Najua.Wewe ulidhani zipi?
Na zile za maigizo ya cinema na movie za kivita sio zenyewe maana zile hazina madhara, uwe unachukua muda wako kuangalia behind the scenes za movies utajifunza kitu, kwenye movies wanafanya kitu kinaitwa make-up kinafanya na make-up designers au make-up artist
Nmesema mwasababu dhima ya movie ni kutufanya tuone risasi ni kitu ambacho ukikaza unajitoa na whiskey ni kama sanitizer
Ndo mana nikauliza ndo zile zile au vipi