Aiyola - Harmonize, Kipaji kipya

Aiyola - Harmonize, Kipaji kipya

Nini Aiyola bwana?Kitu Duro cha TeknoMile kinanimaliza.
Naserebuka,nauangalia kutwa nzima na wala siuchoki.
 
Diamond platnum label, wasafi classic imemtoa dogo harmonize na aiyola yake.

Mtu mzima diamond anazidi barikiwa tu kwa kunyanyua madogo kama hawa..

Mtaa wa pili upo kwenye game miaka kibao sijui umeshamsaidia nani? na label yake inaitwaje??

Jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaa ujue limempata mtu.

Huu sasa ni unafiki,huyo Diamond katolewa na nani?
Kwenye mazuri muwe mnayasema pia,au kama hujui aliyemtoa huyo unayemsifia leo hii kaa kimya tu.
 
waambie hao ambao wanajitoa ufahamu. bila Alikiba wasengemjua huyu mondi wao

Sa mkuu imekuaje huyo kiba kaachwa mbali hivyo na mtu aliemtoa!!davido ndo alomtambulisha mond kimataifa kupitia collabo yao no. 1 remix
 
Bado hujajibu swali,bila Ali Kiba huyo Davido angemjulia wapi domo?
Ajabu leo mnakubali Davido kamtoa domo wakati humu ndani palikua hapakaliki enzi zile tukisema hilo.
 
Sa mkuu imekuaje huyo kiba kaachwa mbali hivyo na mtu aliemtoa!!davido ndo alomtambulisha mond kimataifa kupitia collabo yao no. 1 remix

kaachwa mbali wapi. tatizo vijana mnasahau ya nyuma nyie. bila Kiba huyo mondi angejulikana au
 
waambie hao ambao wanajitoa ufahamu. bila Alikiba wasengemjua huyu mondi wao

Achana nao mapopoma hawa,leo ndio wanasema Davido ndio kamtoa domo ilhali enzi zile lilikuwa balaa zito tukisema hivyo.
 
hawajielewi hawa. tatizo wanajifanya hawajui
 
Kwanini Ali Kiba Leo hali sahani moja na Mondi wakati yeye ndo alomtoa na anaachwa kwa spidi kubwa na masauti yake mazuri alosemaga na mmempa ukingi was bangoflavor na anaambulia @KTMA tu na MAFIESTA na TIGO concert na AFRIMMA alikimbia kumkimbia mwanafunzi,Leo mwanafunZi ndo Mwalimu,Ali Kiba kama unasoma post hii KUBALI tu chief dangote anaweza na Nagharamia yenu hakuna cha maana mle mlichoimba, nasikiaga ngonjera ambazo hazna ujumbe, ndo wanavosemaga mashabiki zako mburula ambao ukweli wanaujua ila wanajitoa kutokujua kwamba Wasafi ndo kiboko chako chakupigiwa wewe.
We are going on and never come back again.
 
Last edited by a moderator:

Na mgazeti wako wote huo nakujibu sentesi fupi tu.....
Time will tell.
 
Last edited by a moderator:
waambie hao ambao wanajitoa ufahamu. bila Alikiba wasengemjua huyu mondi wao

Sa mkuu imekuaje huyo kiba kaachwa mbali hivyo na mtu aliemtoa!!davido ndo alomtambulisha mond kimataifa kupitia collabo yao no. 1 remix
Unajisikiaje leo kumuona mond anamkimbiza kiba mpaka ana panic na kuropoka tu ovyo
 
Dogo kapitia magumu mengi sana, ndio maana hata ukimcheki hadi leo hii kama haamini flani hivii kama ameshatoboa..

Kizuri zaidi, kuwa chini ya diamond amefanikiwa kushare mashabiki na diamond kitu ambacho kimemboost sana..

Akija kufikisha nyimbo tatu hivii, atakuwa ameiva!!

Aisee wabongo hawajui vipaji. Huyu dogo ana talent kubwa sana, namuona akifanya poa sana huko mbeleni ana sauti na utamu. Harmonize baby!
 
Back
Top Bottom