ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,351
Aiyola ni bora kuliko ile ya wanaogharamia
Mkuu naipenda hii ngoma ya Aiyola mpaka najishangaa.. Sijui kwa vile nipo kwenye matatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiyola ni bora kuliko ile ya wanaogharamia
Diamond platnum label, wasafi classic imemtoa dogo harmonize na aiyola yake.
Mtu mzima diamond anazidi barikiwa tu kwa kunyanyua madogo kama hawa..
Mtaa wa pili upo kwenye game miaka kibao sijui umeshamsaidia nani? na label yake inaitwaje??
Jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaa ujue limempata mtu.
Kama sio Ali Kiba huyo Davido angemjulia wapi huyo Diamond?
waambie hao ambao wanajitoa ufahamu. bila Alikiba wasengemjua huyu mondi wao
Sa mkuu imekuaje huyo kiba kaachwa mbali hivyo na mtu aliemtoa!!davido ndo alomtambulisha mond kimataifa kupitia collabo yao no. 1 remix
Sa mkuu imekuaje huyo kiba kaachwa mbali hivyo na mtu aliemtoa!!davido ndo alomtambulisha mond kimataifa kupitia collabo yao no. 1 remix
waambie hao ambao wanajitoa ufahamu. bila Alikiba wasengemjua huyu mondi wao
hawajielewi hawa. tatizo wanajifanya hawajuiAchana nao mapopoma hawa,leo ndio wanasema Davido ndio kamtoa domo ilhali enzi zile lilikuwa balaa zito tukisema hivyo.
Kwanini Ali Kiba Leo hali sahani moja na Mondi wakati yeye ndo alomtoa na anaachwa kwa spidi kubwa na masauti yake mazuri alosemaga na mmempa ukingi was bangoflavor na anaambulia @KTMA tu na MAFIESTA na TIGO concert na AFRIMMA alikimbia kumkimbia mwanafunzi,Leo mwanafunZi ndo Mwalimu,Ali Kiba kama unasoma post hii KUBALI tu chief dangote anaweza na Nagharamia yenu hakuna cha maana mle mlichoimba, nasikiaga ngonjera ambazo hazna ujumbe, ndo wanavosemaga mashabiki zako mburula ambao ukweli wanaujua ila wanajitoa kutokujua kwamba Wasafi ndo kiboko chako chakupigiwa wewe.
We are going on and never come back again.
waambie hao ambao wanajitoa ufahamu. bila Alikiba wasengemjua huyu mondi wao
Na mgazeti wako wote huo nakujibu sentesi fupi tu.....
Time will tell.
Nita mjudge nikisikia wimbo wake wa pili!
Dogo kapitia magumu mengi sana, ndio maana hata ukimcheki hadi leo hii kama haamini flani hivii kama ameshatoboa..
Kizuri zaidi, kuwa chini ya diamond amefanikiwa kushare mashabiki na diamond kitu ambacho kimemboost sana..
Akija kufikisha nyimbo tatu hivii, atakuwa ameiva!!