Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa baba mmoja.Simshangai sana huyo Mbunge.
Nasikia eti, "Mwendazake" aliwahi kusikika akisema, "Gadafi alikuwa Rais wa Kuwait". [emoji23][emoji23][emoji23]
Salaam wakuu,
Mbunge wa Nkenge, Misenyi, Mkoani Kagera adai Nchi ya Sudan kusini inapakana na Mkoa wa Kagera wakati akichangia bajeti ya mambo ya ndani leo.
Amedai Kagera imepatikana na nchi Tano, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC pamoja na nchi zingine na Sudani Kusini.
View attachment 1773217
CHANZO CHA MATATIZO (# code) wanasemaje?Salaam wakuu,
Mbunge wa Nkenge, Misenyi, Mkoani Kagera adai Nchi ya Sudan kusini inapakana na Mkoa wa Kagera wakati akichangia bajeti ya mambo ya ndani leo.
Amedai Kagera imepatikana na nchi Tano, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC pamoja na nchi zingine na Sudani Kusini.
View attachment 1773217
Mbona Mwendazake hizo zilikuwa za kwkawaida Sadam wa LibiyaHivi ni viashiria (Indicators) jinsi elimu yetu inavyozidi kushuka ubora.
Ukute huyu amemaliza F4/ F6 na ameenda College.
Kizazi cha sasa kina Low IQ
Huwezi amini wajinga na wenye low IQ ndio wengi hupewa ubunge na uteuzi mmojawapo ndio huyoNchi ngumu sana hii.
Saddam HusseinSimshangai sana huyo Mbunge.
Nasikia eti, "Mwendazake" aliwahi kusikika akisema, "Gadafi alikuwa Rais wa Kuwait". 😂😂😂
Huko bungeni kweli watu waingie kwa interview.Tanzania ina matapeli wengi sana,wamejazana hadi kwenye siasa.Jamaa kapendeza kama msomi,kavaa na miwani kabisa lkn anasema mkoa wa kagera umepakana na sudani kusini.Huyu ndiyo unamtegemea akutungie sheria.
Wagombea kabla ya kupitishwa na chama chao,wawe wanapewa mtihani hata wa maswali basic tu kuwapima uelewa.Hawa ndiyo wanachangia kushusha hazi ya Bunge
Kama taifa pale tumepigwaHuwezi amini wajinga na wenye low IQ ndio wengi hupewa ubunge na uteuzi mmojawapo ndio huyo
Kizazi kipi kipo bora mbona wale wazee walienda Madagascar kununua novida na kunywa hadharani hata kabla ya kupimwa bora wangeenda na boat waliwasha ndege kabisa...Hivi ni viashiria (Indicators) jinsi elimu yetu inavyozidi kushuka ubora.
Ukute huyu amemaliza F4/ F6 na ameenda College.
Kizazi cha sasa kina Low IQ
Sio kweli! Huyu aligombea Ubunge akitokea kwenye Ukurugenzi wa Wilaya...nadhani Mvomero. Na alianza kugombea 2015...akakosa na ndio wale makada waliopelekwa na JPM kwenye ukurugenzi na ukuu wa wilaya....Hivyo ni CCM toka kitambo sana.Huyo Kyombo alihamia CCM akitokea CHADEMA!
Nini maoni yako mkuu?Huyo Kyombo alihamia CCM akitokea CHADEMA!
Mimi nakubaliana na huyo mbunge na sababu zangu ni hizi:Salaam wakuu,