Unapamia kila hoja huku mishipa imekutoka, mpaka hujui hata mada inaongolea nini. Inshort huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu za jazba hapa jukwaani.Nilizungumzia upinzani kwa kuwa mlilenga uhalifu ni wa watawala tu wakati wote ni walalahoi tu
Mwenye jazba kaona jazba ya mwingine. Mnataka demokrasia huku ndani ya vyama vyenu hamna demokrasia ya kweli.Unapamia kila hoja huku mishipa imekutoka, mpaka hujui hata mada inaongolea nini. Inshort huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu za jazba hapa jukwaani.
Mwenye jazba kaona jazba ya mwingine. Mnataka demokrasia huku ndani ya vyama vyenu hamna demokrasia ya kweli.
Chadema ni Utawala wa kambale by Mzee Duni HajjiMwenye jazba kaona jazba ya mwingine. Mnataka demokrasia huku ndani ya vyama vyenu hamna demokrasia ya kweli.
Haki haki, ππ unaijua haki wewe? Unatoa haki wewe? Acha covid 19 wapambanie haki yao ya ubunge mnayotaka kuwanyang'anya ili muweke watu wenu kwa mgongo wa maridhiano.Vyama vya kina nani labda, na ni nani kataka demokrasia kutoka kwako? Ww ni wale bendera fuata upepo, ukisikia neno linasemwa na ww unarukia tu uonekane unaenda na fashion. Umesikia watu wanasema mnataka demokrasia wakati ndani ya vyama vyenu hamna, basi na ww unarukia humo humo.
Haki haki, ππ unaijua haki wewe? Unatoa haki wewe? Acha covid 19 wapambanie haki yao ya ubunge mnayotaka kuwanyang'anya ili muweke watu wenu kwa mgongo wa maridhiano.
Umeshasahau. We si ndo ulikuwa ukizungumza kuwa unataka HAKI kutoka kwa watawala kwa kuwa hata madaraja mzungu alijenga!Utakuwa umelewa au una upeo mdogo sana. Ni wapi kwenye post uliyoniquote nimeweka neno haki? Punguza utoto dogo.
Umeshasahau. We si ndo ulikuwa ukizungumza kuwa unataka HAKI kutoka kwa watawala kwa kuwa hata madaraja mzungu alijenga!
Hujui maana ya kusummarize point ya mtu? Mi nilikupa summary ya mahitaji yako mhimu na jinsi hali ilivyo ili utulize mshono. Neno haki ni pana sana, we kuniguide ni kuninyima haki pia.Ulichoniquote niliweka neno haki? Ungejibia haki kwenye post husika sio kuchanganya mambo.