Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Unapamia kila hoja huku mishipa imekutoka, mpaka hujui hata mada inaongolea nini. Inshort huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu za jazba hapa jukwaani.Nilizungumzia upinzani kwa kuwa mlilenga uhalifu ni wa watawala tu wakati wote ni walalahoi tu