Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Kwa hiyo akakumenya!?

Haya mambo ya kutuachia hewani na vihadithi vyenu mkome
 
Vipi kwa wanaume wenye ushikaji mno? Ile mwanangu sana, je? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama una uhakika kweli ni mwanamke mwenzako Mkubalie mi nakuja Dodoma wiki hii mwambie muende Lodge mi ntajificha chini ya kitanda alafu mlazimishe mzime taa, akizima taa tunafanya details change mi napanda kitandani we unaingia uvunguni nimalizane nae
 
Ww ni Dume
 
Ila Dogo una visa weyee? Waja ndo wanapenda hizi mada, ila unafiki ndo unawabana, Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio nakuona unakimbiza uzi kweli an mpaka huku pm kuna kikao kinaendelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kipindi cha Mfungo, Chef-Asili hawafungui mpaka muda wa futari
 
Nilipoginduwa demu wangu ni tomboy nilimbana sana mwishowe akanambiya ukweli ,
Alisema ameanza kusagana tangu akiwa boarding school.

Nikambana tena zaidi akasema anahitaji kuacha tabia hyo ndy maana yupo na Mimi kimapenzi.

Nikambana sana akanionyesha baadhi ya wanawake ambao amesha wasaga.,
Ni wasichana warembo haswa.

Γ€mini maneno yangu yule demu Tomboy alilia sana Kwa uchungu alipogunduwa kwamba nimemla X wake mmoja.
mwishowe penzi lilivunjika rasmi..

Hawa tomboy Wana wivu na mademu zao hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…