Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
ππππ Sio wewe ndokitakulambaUnaogopa kitakulambaa, πππππ
ππππ Sio wewe ndokitakulambaUnaogopa kitakulambaa, πππππ
Kitakulambaa wee, ππππππππ Sio wewe ndokitakulamba
Kwamba ndege wafananao huruka pamoja siyo
Ungemwambia ngoja mume wangu aje na alikuwa akitafuta mke wa pili huenda ungemfaa ukaona angesemaje.Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.
Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.
Itaendelea.....
Miss you too...uzi bado tayari??πDear sis mic u.
Bado kidogo, kaa mkao wa kula.Miss you too...uzi bado tayari??π
Naomba unifundishe n maeneo gn ya kumshika mwanamke wakt wa kusex nae πHao watu ni hatari wanajua akushike wapi ili ukolee..!! Anaijua jinsia yetu vizuri na kipi ni kipi, akikukamatia lazima upoteane..! πΉ