Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Hawana kweli na ni Haramu.

Ila wanakuambia utamu wauskiao hausimuliki.... na wakishajiingiza huko huwa hawarudi maana utamu wauskiao sio Daby au Sumbai awezaye kuurejesha......
Hahahaha bado sijaamini.....

Hao wanaofanya huo upuuzi pengine huchangia kupunguza nguvu za kike....
 
Sasa wanawake mnaanza kupeana utamu wenyewe kwa wenyewe, wanaume tutaenda wapi
Lamomy
 
😁😁😁😁
7D75C9AB-950E-4AA2-ADF5-1221BB389391.jpeg
 
Mkuu binti Kwa binti wata kulanaje kimasikhara??

Minalfadhlina mkuuu, kitambo sanaa


Warembo hawawezi kupelekeana Moto mkuu. Huwa wanadanganya tuu.

Wanatumia nn wakati hawana mtalimbo??? Au ndio dildo??

Cc cocastic
Ila mzee wa hall V, kwan hujui hili wee?
Au unatania tyuuh, lol 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom