Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Usiombe demu wako anaswe na hawa watu. Kuna mwanafunzi mmoja alizimia na penzi la msagaji, wazazi wake walipambana sana kuwaachanisha lakini ilionekana ni ngumu mno!
Mpaka wakawa wanatamani mtoro apate kavulana ka kumwachanisha lakini ilionekana bado binti yao kafa kaoza.
 
Kuna mdada anaitwa Big , naye ana Michezo hiyo na ana demu kbs anaishi nae
 
Back
Top Bottom