Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Nini Cuba hata ungesoma Guantanamo huna unalolijua kuhusu mimi na sina Siri yoyote nzito..!! 😹😹😹Tuliosoma CUBA tumegundua kitu ndani ya moyo wako. Umebeba siri nzito maishani mwako kuhusiana na huu uzi.
Kwanza mimi situnzi siri hata bwana angu akiwa na poumbou moja ntasema 🤣