cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Chizii wee ๐๐๐๐Mnoooo
Chizii wee ๐๐๐๐Mnoooo
Namjua ushoga wa mjini.akawa ananpa ofa hatari.Ilikuaje?
KivipMbona ulikua kimya siku zote
watu wapo kaazini?Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.
Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.
Itaendelea.....
Kwendraah ๐๐๐๐Safisha chemchem๐คฃ
Punguza maneno makali mdogo wangu.Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!
Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage ๐น๐น๐น
Nilidhani nashangaa peke yangu, kumbe tuko wengi tunaopajua hapo Chef Asili๐๐Nimeshtuka sana, chief asili kulisha mchana, tena Ramadhan!!
Sielewi kabisa yanayo endelea humu skuizi...๐คจMzee mbona unashangaa!?
Na wanafurahia kipi hasa kwenye kukugonga mwanamke mwenzake?Dm yangu insta wapo kama wanne wanatongoza na hawaogopi
Mmoja tunafahamiana ila nilikuwa sijui kama ana tabia hizo
Kakipande ka video alionyesha pale ni konki ila too shortkama kuna mmoja juzi aliexposiwa na Catherine Kahabi, alishawasaga wadada wenzie at least 17,
Kwa hiyo ulimnunia?Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!
Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage ๐น๐น๐น
๐คฃ๐คฃ๐คฃKumekuchaa sasa. Wacha tuone.
Sawa kaka ๐นPunguza maneno makali mdogo wangu.
Sis ๐ฅKwa hiyo ulimnunia?
HahahahaNipasie namba yake
Acha dhambi bby๐ ๐ ๐ ๐ ๐Nasemaje shusha uzi, waja tusomee venye ilikua.
๐๐๐๐๐
Hahahaha,Hela ya sikukuu ? Eid mixer EasterHuo ni mtego wa kuku. Zama pm upigwe hela
๐น๐น๐น Hao ma-tomboy..!!me imenikuta mala mbili hii situation, tena anakutongoza wala haogopi, nusu nimzabe vibao