kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali,
Kama msemaji wa yanga anasema vitendo hivyo vingefanywa kwa mkapa na klabu ya Yanga kwa kuwa waandishi wa tanzania hawana uzalendo wangeandikwa dunia nzima ikajua kama yale masuala ya kujidunga na kuruka ukuta ambayo TFF huishia kuwapiga faini.
Tuseme wazi na tukemee suala hilo haliwezekani kuwachwa limee hapa kwetu Tanzania maana ya kununua wachezaji bei ghali walimu na kuwalipa mishahara minono faida yake nini tumkemee Ally Kamwe asitake kuhalalisha vitu visivyokubalika na hii inadhihirisha yale maneno kuwa sasa yanga imeshindwa mpira kabisaaaa inatafuta vizingizio nje ya uwanja na mbeleko!
Uhuni michezoni haikubaliki na ni aibu kwa afsa habari wa klabu kongwe kutaka kuupigia promo uhuni!