Ajabu sana kwamba Kumzuia MPINA kurejesha Fomu , ni Hadi mitutu ya Bunduki ??

Ajabu sana kwamba Kumzuia MPINA kurejesha Fomu , ni Hadi mitutu ya Bunduki ??

kinachotakiwa ni kuanza kujipanga na mipango ya kimkakati haswa.


hizi lawama lia lia act walishaambiwa na chadema mapema sana


ni sawa na kujiaminisha "hatogombea"
 
Bado chauma maana salumu mwalimu nae kadandia km mpina tu au chauma yenyewe ni familia kisa Dj ni member wa huko kmy kmy
 
Back
Top Bottom