Haya sasa, bado una cha kusema? Mpira hauchezwi mitandaoni.Tukutane Kwa Mchina.
#Mazembe-must-die-by-any-means
Wametulia sasa wanawaza sindano za Lubumbashi zitakavyokuwa zinawaingia kwa uchunguHaya sasa, bado una cha kusema? Mpira hauchezwi mitandaoni.
Mazembe wanafungika sana tu....jana safu yetu ya ushambuliaji ilikosa tu umakini ila tungeondoka na goli si chini ya mbili au tatu. About the next match in Lubumbashi hata hao Mazembe wapo kwenye wakat mgumu..kumbuka Simba Watabadilika vya kutosha.Wametulia sasa wanawaza sindano za Lubumbashi zitakavyokuwa zinawaingia kwa uchungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Real iliyopigwa mechi zaidi ya 9 LaLiga msimu huu haiwezi kuwa reference ya Simba kuondoka na ushindi vyovyote vile. Ni ngumu mno, atmosphere ya uwanjani vigisu nje ya uwanja na hata uwezo tu TP mazembe simba safari imeisha..Ni hatua kubwa sana kwao thoughNgoma bado mbichi.......Muulize Real Madrid kwa Ajax.
Mtani unaikumbuka kauli yangu kwenye ule uzi wa ubashiri?
Simba sio Ajax bwana. Kwenye away matches Simba wamekuwa wabovu sana.Ngoma bado mbichi.......Muulize Real Madrid kwa Ajax.
Hawa hapa mwaka JanaTuweni tu wakweli kwa hatua hii na uzoefu wa Mazembe kwenye hii michuano Simba haiwezi kwa namna yoyote ile kushinda kule Congo. Wakakamilishe tu mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,mwanao kama ana udhaifu wowote we we kama baba unaamini atabaki hivyohivyo milele???Simba sio Ajax bwana. Kwenye away matches Simba wamekuwa wabovu sana.
Kwani ile ng'ombe inayolia moooo inacheza namba ngapiKanji atacheza namba ngapi?
Mwaka jana walitolewa na Premeiro de Agosto ya Luanda Angola....Walianzia Ugenini hivihivi na matokeo yalikuwa 0-0 ila pale Lubumbashi Waangola wakalazimisha sare ya 1-1 hivyo Mazembe wakatolewa Robo fainali...So, Simba hawashindwi kabisa kupata positive results in Lubumbashi..Mtoa mada una maono,dalili za Simba to win on aggregate zimeanza kujionyesha.Kule Lubumbashi tunahitaji kuanza tu kufunga goli.Jana tulikosa tu bahati lakini tumekosa goli nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu una moyo......mmmhhh🤣Ubarikiwe sana mkuu....watu wamezidi kukariri...Hao Premio dè Augostó ni Waangola na kiwango chao hakitofautiani na cha Simba. Kikubwa Simba Wakaze tu.
Uzi upi mtani? ShadeeyaMtani unaikumbuka kauli yangu kwenye ule uzi wa ubashiri?
Umeona ndio yaliyotokea jana.
Tena we ndio ulinitag Mtani.
AISEEpoor you Fr!!
#Mazembe-must-die-by-any-means