Ajabu: Simba SC itaitoa TP Mazembe kwa Aggregate ya magoli ambayo itawashangaza wengi

Ajabu: Simba SC itaitoa TP Mazembe kwa Aggregate ya magoli ambayo itawashangaza wengi

Wametulia sasa wanawaza sindano za Lubumbashi zitakavyokuwa zinawaingia kwa uchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mazembe wanafungika sana tu....jana safu yetu ya ushambuliaji ilikosa tu umakini ila tungeondoka na goli si chini ya mbili au tatu. About the next match in Lubumbashi hata hao Mazembe wapo kwenye wakat mgumu..kumbuka Simba Watabadilika vya kutosha.
 
Tuweni tu wakweli kwa hatua hii na uzoefu wa Mazembe kwenye hii michuano Simba haiwezi kwa namna yoyote ile kushinda kule Congo. Wakakamilishe tu mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma bado mbichi.......Muulize Real Madrid kwa Ajax.
Real iliyopigwa mechi zaidi ya 9 LaLiga msimu huu haiwezi kuwa reference ya Simba kuondoka na ushindi vyovyote vile. Ni ngumu mno, atmosphere ya uwanjani vigisu nje ya uwanja na hata uwezo tu TP mazembe simba safari imeisha..Ni hatua kubwa sana kwao though

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuweni tu wakweli kwa hatua hii na uzoefu wa Mazembe kwenye hii michuano Simba haiwezi kwa namna yoyote ile kushinda kule Congo. Wakakamilishe tu mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hapa mwaka Jana
IMG_20190407_115747_605.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190407-101825.jpeg
    Screenshot_20190407-101825.jpeg
    57.3 KB · Views: 14
Mtoa mada una maono,dalili za Simba to win on aggregate zimeanza kujionyesha.Kule Lubumbashi tunahitaji kuanza tu kufunga goli.Jana tulikosa tu bahati lakini tumekosa goli nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana walitolewa na Premeiro de Agosto ya Luanda Angola....Walianzia Ugenini hivihivi na matokeo yalikuwa 0-0 ila pale Lubumbashi Waangola wakalazimisha sare ya 1-1 hivyo Mazembe wakatolewa Robo fainali...So, Simba hawashindwi kabisa kupata positive results in Lubumbashi..
 
Ubarikiwe sana mkuu....watu wamezidi kukariri...Hao Premio dè Augostó ni Waangola na kiwango chao hakitofautiani na cha Simba. Kikubwa Simba Wakaze tu.
mkuu una moyo......mmmhhh🤣
 
Back
Top Bottom