Ajali Barabarani: Tuzijue sababu, kuepuka upotoshwaji


Haya yote naona unakazia kwenye ule ubora wetu - ujinga!

Tuwakatae waendesha vyombo vya moto wasiokuwa na minimum basic education.

Hatutaki ajali zao zenye kutugharimu sisi maisha.
 
ujinga - mwendo kasi wa kizembe, ulevi, fujo, utoto hapa umemeliza kila kitu
 
Hizo ni isolated accidents, main reason ya ajali nyingi ni miundo mbinu mibovu tuliyokua nayo, hata alama za usalama barabarani hakuna
Isolated? Si uweke mifano ya kutosha yenye kuakisi hiyo main course kuwa miundo mbinu?

Kwani hao wanaoendesha hawana mchango wa kufanya kuepusha ajali kwenye miundo mbinu mibovu?

Kumbuka Mwakata, Singida na Mtwara ajali zimetokea kwenye barabara ambalo kwa standard zetu ni barabara zuri la lami, liliochorwa barabara na pasipokuwa wala kona.
 

Ninakazia: "Ajali za barabarani Kwa tanzania Kwa asilimia 90 ni Uzembe WA Madereva."

Ila ujinga huu waondolewa vipi kwa teknolojia?
 

Ninakazia: "Ajali za barabarani Kwa tanzania Kwa asilimia 90 ni Uzembe WA Madereva."

Ila ujinga huu wenye kugharimu maisha ya waliomo na wasiokuwamo waondolewa vipi kwa teknolojia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…