Ajali: Basi kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage

Ajali: Basi kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage

Joined
Dec 2, 2023
Posts
19
Reaction score
28
Ajali ya Basi la kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage pale,

Taarifa zaida wataleta wenye mamlaka husika

1702238106134.png

1702238171120.png
 
Ajali ya Basi la kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage pale, poleni sana aisee 🥲

Tuendelee kuchukua tahadhari road bado kwa moto sana.

Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya.

Kama mnakumbuka nilitoa tahadhali mapema kama hamna umu him wa KUSAFIRI tulia nyumban na familia Yako.
 
Attachments

  • 1702284288961.jpg
    1702284288961.jpg
    149.3 KB · Views: 5
Ajali imetokea wapi?
Ajali ya Basi la kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage pale, poleni sana aisee 🥲

Tuendelee kuchukua tahadhari road bado kwa moto sana.

Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya.

Kama mnakumbuka nilitoa tahadhali mapema kama hamna umu him wa KUSAFIRI tulia nyumban na familia Yako.m
 
Nyamwage ni wapi wakuu?au ni kipande Cha barabara inayoelekea wapi!!
 
Back
Top Bottom