Ajali: Basi kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage

Ajali ya Basi la kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage pale, poleni sana aisee 🥲

Tuendelee kuchukua tahadhari road bado kwa moto sana.

Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya.

Kama mnakumbuka nilitoa tahadhali mapema kama hamna umu him wa KUSAFIRI tulia nyumban na familia Yako.
 

Attachments

  • 1702284288961.jpg
    149.3 KB · Views: 5
Ajali imetokea wapi?
 
Nyamwage ni wapi wakuu?au ni kipande Cha barabara inayoelekea wapi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…