Bora kama hakuna maafa !
Ni moja ya matumizi mazuri ya kuegesha gari kwani mwendokasi wameshindwa kuvitumia, nampa hongera.Ajali imetokea maeneo ya Mbagala Zakhiem ambapo kuna Lori limeingia ndani ya kituo cha Mwendokasi.
View attachment 2926322
View attachment 2926323
📸 - Adventure_36 "X"
Bado havijaanza kazi.This is a really mess
Huyo mkatisha tkt atakuwa amepona kweli!?