The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Magari matatu yamegongana kwenye flyover ya Ubungo muda mfupi uliopita, na kusababisha taharuki kwa watumiaji wa barabara hiyo. Hadi sasa, hakuna taarifa za kifo zilizoripotiwa, ingawa uharibifu wa magari na msongamano mkubwa wa magari umetokea eneo hilo.
Chanzo Cha ajali hiyo bado hakijajulikana, Madereva wanaombwa kuwa makini wanapopita katika eneo hilo ili kuepuka ajali zaidi
Chanzo Cha ajali hiyo bado hakijajulikana, Madereva wanaombwa kuwa makini wanapopita katika eneo hilo ili kuepuka ajali zaidi